JOSEPH Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini aliyeachiwa ghafla jana kutoka gereza la Ruanda, anasema anapaswa kuombwa radhi kwa uonevu aliofanyiwa kwa sababu za kisiasa. Msikilize.
Politics
KATIKA andiko hili, Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Maendeleo), anachambua ajenda ya serikali ya CCM kuhusu viwanda, akisema ni safari isiyo na kituo, isiyo na mwendelezo. Endelea. Nimeona...
MASHIRIKA 65 ya kiraia yanayotetea haki za binadamu katika nchi mbalimbali yametoa tamko zito kumtaka Rais John Mafuguli akomeshe ukatili wa serikali yake dhidi ya waandishi wa habari, vyombo...
Na Mwandishi Wetu JOHN Mnyika, mbunge wa Kibamba, amemwomba spika wa Bunge awe mkali ili Bunge likwamishe bajeti ya maji na serikali ijipange vema na kuileta upya ikiwa na...
WABUNGE 10 wa Chadema leo Jumamosi wametembelea gereza la Ruanda, Mbeya, kuwajulia hali Joseph Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini, na Emmanuel Masonga, katibu wa Kanda ya Nyasa. Wabunge...
RAIS John Magufuli amekamatika. Sababu za yeye kutopenda kukosolewa, na bidii yake kudhibiti vyombo vya habari, wanaharakati, na wapinzani hata kwa kumwaga damu, zimeanza kujulikana. Anaogopa wapinzani na vyombo...
DUNIANI kote, siku ya wafanyakazi ni siku yao. Ni ya wafanyakazi. Siku hiyo ni siku ya kukumbushana majukumu yao na wajibu wao katika kutetea maslahi yao. Ni siku ya...
IBARA ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ndiyo inazungumzia uwepo wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na majukumu yake. Moja ya...
Na Mwandishi Wetu MWAKA wa kwanza wa utawala wa Rais John Magufuli “uliotesha” ufisadi mkubwa serikalini kuliko awamu iliyomtangulia ya Rais Jakaya Kikwete. Ukweli huu unapatikana katika uchambuzi mfupi...
KATIKA miaka takribani mitatu mfululizo, Rais John Magufuli amedhihirika kuwa kiongozi mwenye ndimi mbili kama nyoka. Alianza na sura ya uadilifu, ukali, na umakini. Kuna watu walimwamini. Sasa uadilifu...