KUNA mengi yanasemwa kuhusu hatima ya Komredi Abdulraham Kinana, aliyeng’atuka ukatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye ndani na nje ya chama hicho ana upekee wa aina yake. Wiki moja kabla Kinana hajajiuzulu, kuna wakubwa wengi, wakiwamo wastaafu, waliingia na kutoka Ikulu kuteta na mwenyekiti wa CCM, John...
Politics
KUKANA makontena kama ni yake au si yake, wala kutishia kuwashitaki TRA – mamlaka ya mapato Tanzania – na wizara ya fedha, hakuondoi ukweli kwamba wao ndio walitangulia...
Tazama anavyofanana na anavyofuata rasmi nyayo za watawala wakatili wenzake – Mussolini, Hitler, Mobutu na Amini – kama uchambuzi huu unavyoeleza. Na Mwandishi Wetu RAIS John Magufuli ni kiongozi...
Na Mwandishi Wetu BADO wakubwa wamegawanyika na wametikisika kuhusu sakata la ukuta wa Mererani, unaozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite mkoani Manyara, kulindwa na wanajeshi kutoka Rwanda, SAUTI...
Na Gift Mathayo BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha takwimu za ongezeko la deni la taifa, ikisema kuwa takwimu sahihi ni shilingi bilioni mbili (2,000,000,000 )za Kitanzania badala ya...
MIAKA miwili na nusu inayoyoma tangu serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani, taifa letu linadidimia katika sintofahamu ya mdororo wa uchumi na mparaganyiko wa kijamii. Serikali ya awamu...
CHAMA cha Wananchi (CUF), kupitia kwa Katibu Mkuu Maalim Seif Shariff Hamad, kimeitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kurejesha Sh. 76 milioni kwa chama hicho. Kwa mujibu wa Salum...
Mabeyo na Dk. Kipilimba wamekerwa na rais kujaza Wanyarwanda katika idara ya usalama; Sirro naye anahaha kuondoa polisi kwenye mikoni michafu ya Bashite
Wasikilize Ansbert Ngurumo, mhariri wa SAUTI KUBWA, na Khalid Hassan, mwandishi wa habari mkongwe kutoka Burundi, wakijadili uhuru wa vyombo vya habari katika “meza ya duara” ya Sauti ya Ujerumani (DW)....
JOSEPH Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini aliyeachiwa ghafla jana kutoka gereza la Ruanda, anasema anapaswa kuombwa radhi kwa uonevu aliofanyiwa kwa sababu za kisiasa. Msikilize.