Kama ilivyoletwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 26 Januari 2022. Jaji kaingia mahakamani. Kesi inatajwa. Wakili wa serikali: Mheshimiwa Jaji Ikikupendeza naitwa wakili Wa Serikali Robert Kidando nipo...
Politics
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 24 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani saa 4 na dakika 55 Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa,...
People and Events
Politics
Mwanajeshi, mwandishi watuhumiwa kuua mtu na kuficha mwili Mtwara. Ndugu wataka Sirro, Mabeyo wachukue hatua
IMETIMIA miezi miwili tangu Azizi Juma (40), mkazi wa Ligula katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, Wilaya ya Mtwara, apotezwe akiwa mikononi mwa maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 21 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani muda huu saa 4 na dakika 4Wakili wa Serikali Robert Kidando: Ikupendeze Mheshimiwa Jaji naitwa...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 20 Januari 2022. Jaji ameingia mahakamani muda huu saa 4 kasoroboKesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 19 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Saa 4 Kasoro Dakika 2Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam...
Kama ilivyowasilishwa na maripota raia BJ na LS leo 18, Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani, Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman...
Dr ASHANTU Kijaji, Tanzania’s Minister for Industry, Trade and Investment has come out with all guns blazing calling the FCC (Fair and Competition Commission) to clarify on the three...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 17, Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe...
Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Rais Mwinyi atajwa, shahidi agoma maelezo yake kuingizwa kwenye kumbukumbu
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 13.01.2022. Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Saa 4 na Dakika 8 Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa,...