Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Luteni Urio ahitimisha ushahidi baada ya kibano cha Kibatala kwa siku nne
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo Februari 1, 2022 Jumla ya maswali yaliyoulizwa leo na Wakili Kibatala leo ni 161. Yaliyojibiwa na shahidi ni 157. Miongoni mwa hayo...