BAADHI ya Watanzania maarufu wakiwamo waandishi wa habari, wanamichezo, wanasiasa na wafanyabiashara ambao tayari wamechanjwa dhidi ya maambukizi ya COVID-19, wamehimiza serikali ya Tanzania ifanye haraka kuleta chanjo nchini...
Afya
ZANZIBAR imeanza kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa wananchi wake na jana watumishi wenye hatari zaidi ya kuambukizwa walidungwa kinga hiyo. Zanzibar ilipokea shehena ya kwanza ya chanjo hiyo...
Afya
People and Events
Politics
Diallo aitibua CCM kuhusu ushindi wa uchaguzi mkuu 2015, afya ya mgombea urais
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Dk. Anthony Ngw’andu Diallo, amekosoa vikali utendaji wa kiongozi wa nchi hiyo aliyepita, hayati John Magufuli, kwa sababu...
Afya
Politics
Mlipuko mpya wa Corona walazimisha Tanzania kutangaza tena takwimu baada ya kimya cha miezi 14
SASA ni dhahiri kwamba maambukizi ya virusi vya Corona nchini Tanzania ni makubwa kuliko inavyoweza kufichwa, kwani kumebainika kuwepo ongezeko la vifo, hasa maeneo ya mijini kutokana na chazo...
Afya
Politics
Tanzania reports over 280 new Corona cases for the first time after 14 months of silence, denial
AMIDST the exponentially growing risk of COVID-19 cases in Tanzania, the government has released figures on Coronavirus today, confirming 408 patients in hospital beds since a third wave of...
TANZANIA is expected to be among African countries to benefit – for the first time since the outbreak of the pandemic – from the special program of COVID-19 vaccination...
HOFU ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa Corona yameifanya serikali ya Tanzania iagize kila mwananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo na kuvaa barakoa katika sehemu za mikusanyiko. Corona, ugonjwa...
TANZANIA is set to start issuing COVID-19 data from July this year, for the first time since 29th April 2020 when then President John Magufuli ordered the government to...
WAKATI wowote kuanzia sasa, Zanzibar itaanza kupokea chanjo dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona, baada ya serikali kuridhia matumizi yake. Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Ikulu ya...
VACCINE experts in Tanzania have advised the government to accept COVID -19 vaccines, insisting they are safe and efficient in containing the pandemic. A special team of experts, formed...