MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mifumo imara waliyoianzisha imesaidia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiwango kikubwa. Akizungumza katika semina ya waandishi wa habari za mitandao ya kijamii Dar...
Main
Nukuu shindani:
1."Suala la Magufuli, alilianzisha Msigwa kama turufu yake kuwa aligoma kwenda Ikulu kwa sababu ya uaminifu wake kwa Chadema. Sugu akasema, alikuwa mwoga, alitakiwa kumkabili Magufuli na kumweleza...
Environment
Justice
Main
Politics
Wananchi KIA waishika pabaya serikali wakipigania ardhi yao, fidia
"Ni jambo la kushangaza leo wanasema sisi ni wavamizi, si kweli. Haya anayosema msemaji wa serikali juu ya ardhi ya vijiji vya KIA ni upotoshaji tu."
Kwa upande mwingine wafanyakazi wa meli za China wapatao 26 kati ya 48 waliohojiwa walisema walishuhudia meli za China katika ukanda huu zikijihusisha na uvuaji au utesaji wa jamii...
"Nimebahatika kutembelea miji mikubwa na midogo nchini China, ikiwemo Beijing, Shanghai, Xian, Tianjin, na Chongqing sijawahi kuona michezo ya kamari kwani inakatazwa kisheria..."
Wanadi Muungano wa Serikali Tatu
Wapongeza Wazanzibari kwa kulinda nchi yao
Wapigilia msumari madai ya Katiba Mpya
"To deal with the problem, at least in the short term, the best policy proposal could be to limit government expenditure and controll public debt which is the touchstone...
"Politicians love alternative facts, but the truth is that the size of the budget is a policy choice. Whenever we increase our budget, our implementation strategy - which has...
"Ni kitu ambacho kisichowezekana! Eti uweke Shilingi 200, ushinde milioni 51. Naweza kusema ni kitu kigumu kwa sababu tangu nianze kucheza kamari, sikuwahi kuona hata watu wanaonizunguka wakishinda..."