Na Mwandishi Wetu MWAKA wa kwanza wa utawala wa Rais John Magufuli “uliotesha” ufisadi mkubwa serikalini kuliko awamu iliyomtangulia ya Rais Jakaya Kikwete. Ukweli huu unapatikana katika uchambuzi mfupi uliofanywa na Dk. Marcossy Albanie kuhusu matumizi ya fedha za umma, kwa mujibu wa taarifa ya mdhibiti na msimamizi mkuu...
Author: Ansbert Ngurumo
KATIKA miaka takribani mitatu mfululizo, Rais John Magufuli amedhihirika kuwa kiongozi mwenye ndimi mbili kama nyoka. Alianza na sura ya uadilifu, ukali, na umakini. Kuna watu walimwamini. Sasa uadilifu...
Hii ni orodha ya kwanza ya wananchi 68 waliopotezwa na vyombo vya dola katika eneo la Kibiti, Mkuranga, Tanzania. Imewasilishwa na Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, leo bungeni...
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, amesema zaidi ya Watanzania 380 wa Kibiti wamepotezwa katika mazingira yenye utata, na ametuhumu serikali kwa uhalifu huo. Kwa sababu hiyo, ametaka Bunge...
The High Court in Mtwara Region today has issued a temporary injunction restraining the use of the Online Content Regulation which was to be in effect on the 5th...
TAARIFA kutoka Mtwara zinasema Mahakama Kuu imezuia zinasema serikali kutumia kanuni mpya za mtandaoni ambazo zilipangwa kutumika kuanzia tarehe 4 Mei 2018. Hakama Kuu Kanda ya Mtwara leo imetoa...
MOHAMED Salah, mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, ambaye timu yake itakutana na Real Madrid katika mechi ya fainali za klabu bingwa ulaya (UEFA), amesisitiza kwamba si vema watu kutazama...
JUKWAA la wahariri Tanzania (TEF) limemtaka Rais John Magufuli kuchukua hatua dhidi ya “watu wasiojulikana” wanaohatarisha uhuru na amani ya waandishi wa habari na raia wengine. Ujumbe wa wahariri...
ASILIMIA 40 ya shahada zinazotolewa na vyuo vikuu sasa zitatoweka kwa kukosa umuhimu kwenye jamii katika miaka 10 ijayo, utafiti mpya umebaini. Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya Ernst...