Na Gift Mathayo BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha takwimu za ongezeko la deni la taifa, ikisema kuwa takwimu sahihi ni shilingi bilioni mbili (2,000,000,000 )za Kitanzania badala ya...
Author: Ansbert Ngurumo
MIAKA miwili na nusu inayoyoma tangu serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani, taifa letu linadidimia katika sintofahamu ya mdororo wa uchumi na mparaganyiko wa kijamii. Serikali ya awamu...
CHAMA cha Wananchi (CUF), kupitia kwa Katibu Mkuu Maalim Seif Shariff Hamad, kimeitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kurejesha Sh. 76 milioni kwa chama hicho. Kwa mujibu wa Salum...
World
Badala ya babake Meghan, sasa Prince Charles ndiye atamkabidhi bibi harusi Meghan kwa Prince Harry siku ya harusi
FAMILIA ya kifalme ya Uingereza imetoa taarifa kwamba Prince Charles, baba mzazi wa bwana harusi mtarajiwa Prince Harry, ndiye atakayemkabidhi bibi harusi mtarajiwa Meghan Markle kanisani kwa mumewe mtarajiwa siku...
KLABU ya soka ya Arsenal, wakati ikiendelea kusaka mtu wa kuziba nafasi ya kocha anayeondoka, Arsene Wenger, inafikiria kufanya mazungumzo na mfungaji bora wa zamani wa timu hiyo, Thiery...
Mabeyo na Dk. Kipilimba wamekerwa na rais kujaza Wanyarwanda katika idara ya usalama; Sirro naye anahaha kuondoa polisi kwenye mikoni michafu ya Bashite
KATIKA andiko hili, Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Maendeleo), anachambua ajenda ya serikali ya CCM kuhusu viwanda, akisema ni safari isiyo na kituo, isiyo na mwendelezo. Endelea. Nimeona...
NGUVU ya umma imeshinda hila na mabavu ya watawala nchini Malaysia, na kuangusha muungano wa chama tawala, National Front, ambacho kimetawala nchi hiyo kwa miaka 60 mfululizo tangu ilipopata...
MASHIRIKA 65 ya kiraia yanayotetea haki za binadamu katika nchi mbalimbali yametoa tamko zito kumtaka Rais John Mafuguli akomeshe ukatili wa serikali yake dhidi ya waandishi wa habari, vyombo...
RAIS John Magufuli aliahidi neema kwa wafanyakazi. Leo amewageuka mchana kweupe. Kila mwaka ana visingizio vya kutowaongezea mshahara au kutolipa maslahi yao.