Magufuli is an Idi Amini and Hitler of Tanzania
Author: Ansbert Ngurumo
KUNA mengi yanasemwa kuhusu hatima ya Komredi Abdulraham Kinana, aliyeng’atuka ukatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye ndani na nje ya chama hicho ana upekee wa aina yake....
WAKATI wowote kuanzia sasa kocha wa zamani wa Paris St-Germain (PSG) na Sevilla Unai Emery atatangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Arsenal. Arsenal, ambayo ni moja ya klabu kubwa nchini...
Lucy owenya afunda serikali kuhusu kutangaza utalii
KUKANA makontena kama ni yake au si yake, wala kutishia kuwashitaki TRA – mamlaka ya mapato Tanzania – na wizara ya fedha, hakuondoi ukweli kwamba wao ndio walitangulia...
Tazama anavyofanana na anavyofuata rasmi nyayo za watawala wakatili wenzake – Mussolini, Hitler, Mobutu na Amini – kama uchambuzi huu unavyoeleza. Na Mwandishi Wetu RAIS John Magufuli ni kiongozi...
Na Mwandishi Wetu BADO wakubwa wamegawanyika na wametikisika kuhusu sakata la ukuta wa Mererani, unaozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite mkoani Manyara, kulindwa na wanajeshi kutoka Rwanda, SAUTI...
Na Gift Mathayo BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha takwimu za ongezeko la deni la taifa, ikisema kuwa takwimu sahihi ni shilingi bilioni mbili (2,000,000,000 )za Kitanzania badala ya...
MIAKA miwili na nusu inayoyoma tangu serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani, taifa letu linadidimia katika sintofahamu ya mdororo wa uchumi na mparaganyiko wa kijamii. Serikali ya awamu...
CHAMA cha Wananchi (CUF), kupitia kwa Katibu Mkuu Maalim Seif Shariff Hamad, kimeitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kurejesha Sh. 76 milioni kwa chama hicho. Kwa mujibu wa Salum...