TANZANIA imeingia katika orodha ya nchi zinazotumia ubabe na hila kubaki madarakani ikiwa ni pamoja na kuminya uhuru wa kupashana habari kwa kuzima mtandao wa mawasiliano wa intaneti. Ripoti...
Tag: Ufisadi
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
Corruption
Justice
Politics
Serikali ya Magufuli yatumia “kesi mbaya” kuchuma mapesa kwa kutesa wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanaharakati
HATUA ya Serikali ya Rais John Magufuli kukamata na kutesa raia, kuwafungulia kesi mbaya na hatimaye kuwanyang’anya fedha, imeelezwa kuwa ni mkakati wa kujinufaisha kwa pesa za haraka haraka,...
Corruption
Justice
People and Events
Politics
Vita dhidi ya ufisadi: Magufuli awakingia kifua vigogo, maswahiba
VITA dhidi ya ufisadi ambayo Rais John Magufuli amekuwa anajitapa nayo, imeingia dosari baada ya kubainika kuwa ukali wake unaelekezwa kwa baadhi ya watu huku akikwepa kugusa wengine. Baadhi...
RAIS John Magufuli amekamatika. Sababu za yeye kutopenda kukosolewa, na bidii yake kudhibiti vyombo vya habari, wanaharakati, na wapinzani hata kwa kumwaga damu, zimeanza kujulikana. Anaogopa wapinzani na vyombo...
KATIKA miaka takribani mitatu mfululizo, Rais John Magufuli amedhihirika kuwa kiongozi mwenye ndimi mbili kama nyoka. Alianza na sura ya uadilifu, ukali, na umakini. Kuna watu walimwamini. Sasa uadilifu...