MTANZANIA yeyote, au raia wa nchi yoyote, aliyefuatilia utendaji wa serikali zetu tangu mwaka 1995 hadi sasa, atakuwa amegundua kwamba kuna uzi mwembamba unaunganisha marais wetu. Ni watawala wale...
Tag: CCM
Awali, sikudhamiria kuandika kitabu. Hili ni zao la makala zangu za uchambuzi wa kisiasa, hasa katika gazeti RAI tangu 1997, na baadaye katika safu ya Maswali Magumu, ambazo zilichapishwa...
NIMEANDIKA ujumbe huu leo katika majadiliano na rafiki yangu mmoja ambaye alijiondoa kwenye kundi la Maswali Magumu, akanieleza kuwa amekata tamaa kwa sababu watu wawili aliokuwa anawaamini katika siasa...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimepoteza matumaini ya ushindi katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma. Tathmini ya ndani ya chama hicho inaonyesha kuwa mgombea wao, Christopher...
MAKUMI ya vijana wahuni kutoka Burundi yameingizwa nchini kwa ajili ya kuongezea nguvu Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkakati wake wa kusaka ushindi kwa nguvu katika uchaguzi wa Jimbo...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) tayari kimeingia katika kashfa iliyoleta mgawanyiko baada ya viongozi kutofautiana juu ya nguvu na jeuri inayotumika kukamua wafanyabiashara na wawekezaji wa kigeni kwa kisingizio cha kuchangia uchaguzi...
KUNA mengi yanasemwa kuhusu hatima ya Komredi Abdulraham Kinana, aliyeng’atuka ukatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye ndani na nje ya chama hicho ana upekee wa aina yake....