JANA tarehe 1 Juni 2021, Spika wa Bunge Job Ndugai alimwamuru mbunge mmoja wa kike, Condester Sichalwe (Momba), aondoke kwenye ukumbi wa Bunge kwa maelezo kuwa hakuvaa nguo za...
Tag: Bunge
RAIS Samia Suluhu Hassan amekerwa kuona baadhi ya wabunge wanaacha kujadili ajenda za kitaifa zenye maslahi mapana kwa umma, badala yake wanatumia muda mrefu kujadili porojo na kusifia viongozi....
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), amesema serikali imepeleka bungeni bajeti hewa. Mbali na kuzungumzia bajeti ya mwaka huu, Mbowe amechambua pia...
Politics
Ndugai akuza deni la matibabu nje ya nchi. Adaiwa kulamba milioni 500 ndani ya miezi mitano
JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, na Rais John Magufuli wamenyoshewa kidole, wakihusishwa na ongezeko kubwa la deni la matibabu nje ya nchi. Deni hilo limeongezeka...
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, amesema zaidi ya Watanzania 380 wa Kibiti wamepotezwa katika mazingira yenye utata, na ametuhumu serikali kwa uhalifu huo. Kwa sababu hiyo, ametaka Bunge...