Unai Emery Kocha Mpya Arsenal

WAKATI  wowote kuanzia sasa kocha wa zamani wa Paris St-Germain (PSG) na Sevilla Unai Emery atatangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Arsenal.

Arsenal, ambayo ni moja ya klabu kubwa nchini Uingereza, imekuwa katika mchakato wa kupata kocha mpya baada ya Arsene Wenger, aliyeachia ngazi baada ya miaka 22 ya kuwa kocha wa timu hiyo.

Arsenal itamtangaza Emery rasmi kuchukua mikoba ya Arsenal Wenger muda wowote ndani ya wiki hii.

Je, unasemaje kuhusu uteuzi huu? Toa maoni yako.

Like
2

Leave a Comment

Your email address will not be published.