Hakuna shaka kwamba mateso na mauaji ya raia yanayotokea ni utekelezaji wa amri ya Rais John Magufuli.
Politics
HATA Rais Jakaya Kikwete anajilaumu kuhusu Rais John Magufuli. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa naye vile ile; alimjua kwa upande mmoja kama “askari wake wa mwavuli.” Katika mengine wanayojuana, waliamua...
Na Mwandishi Wetu NGUVU iliyosababisha usaliti wa Askofu Dk. Alex Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ambaye ametengwa na Baraza la Kuu la maaskofu wa Kanisa la...
Ndugu zangu watanzania nawasilimu sana! Ikumbukwe kwamba mpaka hapa ulimwengu ulipofikia ni juhudi za mwanadamu kuhakikisha dunia inakuwa ndogo hata kwa kiwango cha kijiji. Dhumuni likiwa ni kurahisisha mawasiliano...
NILISIKILIZA kauli ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, wakati alipokuwa akieleza Bungeni “zilipo Shs. trilioni 1.5,” nikajiuliza, kwanini serikali hii inataka kutuchanganya kwa hesabu...
HOFU ya kiza cha ujinga inazingira serikali ya Tanzania, na sasa watawala wanapanga kufunga – Facebook, WhatsApp, Twitter na hata Instagram. Kupitia mitandao hiyo, si wanafunzi tu wanaopata uelewa...
RIPOTI ya mwaka 2018 inayotolewa na taasisi ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF), kuhusu uhuru wa vyombo vya habari katika mwaka uliopita, inaonyesha kwamba ndani ya mwaka...
SEKTA ya utalii ndiyo ya pili inayoingizia Tanzania fedha nyingi za kigeni baada ya sekta ya madini. Kwa sasa sekta hii inaingizia nchi zaidi ya dola za kimarekani bilioni...
TUNDU Lissu, a Tanzanian Member of Parliament who was shot by “unknown assailants” in broad daylight at his residence in Dodoma, Tanzania, on 7th September 2017, says he is...
Na Mwandishi Wetu MWAKA wa kwanza wa utawala wa Rais John Magufuli “uliotesha” ufisadi mkubwa serikalini kuliko awamu iliyomtangulia ya Rais Jakaya Kikwete. Ukweli huu unapatikana katika uchambuzi mfupi...