Sugu awavunja mbavu wabunge kwa kusema Ustadhi Ali Kingi ni rafiki yake wa kitimoto.
Politics
TUNDU Lissu, mbunge wa Singida Mashariki ambaye anaendelea na matibabu katika University Hospital Leuven, Ubelgiji, anasema kuwa licha ya mbwembwe za Rais John Magufuli kuhusu “mabadiliko” anayodai kufanya katika...
KUNA mengi yanasemwa kuhusu hatima ya Komredi Abdulraham Kinana, aliyeng’atuka ukatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye ndani na nje ya chama hicho ana upekee wa aina yake....
KUKANA makontena kama ni yake au si yake, wala kutishia kuwashitaki TRA – mamlaka ya mapato Tanzania – na wizara ya fedha, hakuondoi ukweli kwamba wao ndio walitangulia...
Tazama anavyofanana na anavyofuata rasmi nyayo za watawala wakatili wenzake – Mussolini, Hitler, Mobutu na Amini – kama uchambuzi huu unavyoeleza. Na Mwandishi Wetu RAIS John Magufuli ni kiongozi...
Na Mwandishi Wetu BADO wakubwa wamegawanyika na wametikisika kuhusu sakata la ukuta wa Mererani, unaozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite mkoani Manyara, kulindwa na wanajeshi kutoka Rwanda, SAUTI...
Na Gift Mathayo BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha takwimu za ongezeko la deni la taifa, ikisema kuwa takwimu sahihi ni shilingi bilioni mbili (2,000,000,000 )za Kitanzania badala ya...
MIAKA miwili na nusu inayoyoma tangu serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani, taifa letu linadidimia katika sintofahamu ya mdororo wa uchumi na mparaganyiko wa kijamii. Serikali ya awamu...