LOVE is brewing. It is discernible. And you could almost stroke it as we approach Valentine’s Day. It is a day that is linked with sugar and spice and...
Main
Justice
Main
Politics
Kesi ya Mbowe: Pingamizi la Wakili Mtobesya latia majaribuni uadilifu wa Jaji Tiganga
Jaji ameshaingia mahakamani na kesi imeanza kwa kutajwa namba yake. Mawakili wa upande wa Jamhuri wanajitambulisha. Robert Kidando Pius Hilla Abdallah Chavula Jenitreza kitali Nassoro Katuga Esther Martin Ignasi...
Kutoka mahakamani kama ilivyowasiishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 03 Novemba 2021. Jaji ameingiaKesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe...
Justice
Main
Politics
Security
Kesi ya Mbowe: Shahidi kutoka Tigo akiri mitambo ya simu yaweza kuingiliwa, kuchezewa
Mtobesya: Sikusikia ukisema kwamba Servers zinaweza kuingiliwa na Mahakama?
Shahidi (Tigo): Sahihi
Mtobesya: Wakati Jaji akiandika elezea HACKERS ni Watu gani
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, kutoka mahakamani leo tarehe 01 Novemba 2021. Mawakili,watuhumiwa na Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani Muda wowote Kesi itaanza Jaji ameingia sasa Saa 4...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 29.Oktoba 2021. Saa 3:50 asubuhi Jaji anaingia mahakamani. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 inasomwa. Ni Jamhuri dhidi ya Khalfani Bwire,...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2022. Kwa ufupi Shahidi wa Jamhuri Justine Kaaya jana alisema kuwa alikutana na Mbowe kupanga ugaidi Januari 2020...
Wanaharakati waibua picha zake akiwa na sare ya CCM na viongozi wa CCM. Afuta akaunti yake Facebook kuficha utambulisho. Wamwambia ‘umechelewa, tayari tunazo.‘ Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ,...
Justice
Main
Politics
Kesi ya Mbowe na wenzake awamu ya pili: Maswali ya mawakili na majibu ya shahidi ACP Kingai
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ leo Jumanne 26.10.2021 Saa 4:16 Jaji anaingia Mahakamani Wakili wa Serikali, Robert Kidando, anatambulisha jopo la mawakili wa Serikali. Robert Kidando Nassoro Katuga...
BAADA ya uamuzi wa Jaji Kiongozi Mustafa Siyami unaolalamikiwa katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya Freeman Mbowe na wenzake wanaotuhumiwa ugaidi, nimezungumza na viongozi kadhaa wakiwemo...