Ahoji sababu ya kutodai Sh trilioni 1.2 kutoka IPTL na Arab Contactors Ahofia usiri unaoleta mwanya wa mikataba ya upigaji katika miradi ya gesi WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba,...
Bungeni
Tunahitaji akiba ya fedha za kigeni pale BoT ili kuendelea kudumisha ukwasi ikiwa itatokea mdororo wowote wa kiuchumi. Hizi siyo fedha za kujenga madarasa kama ambavyo Mwigulu analieleza bunge...
RAIS Samia Suluhu Hassan amekerwa kuona baadhi ya wabunge wanaacha kujadili ajenda za kitaifa zenye maslahi mapana kwa umma, badala yake wanatumia muda mrefu kujadili porojo na kusifia viongozi....
TANZANIA’S President Samia Suluhu Hassan has criticised the Members of Parliament for discussing petty issues in parliament instead of debating the national agenda. She further blamed the Speaker of...
Kamati ya Bajeti imesema Stempu za Kielectroniki (Electronic Tax Stamp-ETS) NI KASHFA KUBWA: Kampuni iliyopatikana kinyemela kulipwa TZS67 bilioni kwa mwaka. Hii hapa kauli ya kamati kama ilivyowasilishwa na...
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), amesema serikali imepeleka bungeni bajeti hewa. Mbali na kuzungumzia bajeti ya mwaka huu, Mbowe amechambua pia...
Sugu awavunja mbavu wabunge kwa kusema Ustadhi Ali Kingi ni rafiki yake wa kitimoto.
Lucy owenya afunda serikali kuhusu kutangaza utalii