WAKATI kukiwa na kila dalili kuwa Edward Kinabo atawania ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika uchaguzi mkuu mwaka huu, hujuma dhidi yake...
Author: Rehema Ibrahim
EDWARD Kinabo, Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma, wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amesema chama hicho kikiingia madarakani kitatumia “sera ya kuthaminisha ardhi kuwa hisa”...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema chama hicho kikiingia madarakani kitaongeza uwekezaji wa kimkakati katika sekta nzima ya kilimo ili kupambana na hali...
CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema Tanzania inapoteza kiasi cha shilingi trilioni 4 kila mwaka katika madini kwasababu ya kukithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi, magen̈do na uhamishaji haramu...
Police authorities have denied knowledge of, or association with, these abductions, but the abductees' families say there are apparently no visible efforts by police to trace the abductors and...
LICHA ya sheria kali dhidi ya uvuvi haramu ya mwaka 2018 iliyofanyiwa marekebisho mbalimbali mwaka 2020, serikali imeshindwa kuzuia kosa hili. Sheria inasema: “Mvuvi atakayekamatwa amevua samaki kwa mabomu/baruti,...
Naweza kukushuhudia kuwa kazi ya uvuvi haramu imeweza kuniharakishia maisha kwani nilioa, nikanunua gari na kujenga angalau nyumba ndogo...
Justice
People and Events
Politics
Tanzania secretly charges opposition leader with terrorism to deny him bail
TANZANIA has kept engraving its name on the rock of torture, oppression and humiliation of its critics and opponents, this time by taking to court the leader of opposition...
SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), iko hatarini kumeguka. Chama mshirika ACT-Wazalendo kinadai “kuminywa” na chama tawala, CCM. Kuminywa huko kunatajwa na viongozi wote wa juu wa ACT-Wazalendo,...
VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa....