Justice
Main
Politics
Security
Kesi ya Mbowe: Shahidi kutoka Tigo akiri mitambo ya simu yaweza kuingiliwa, kuchezewa
Mtobesya: Sikusikia ukisema kwamba Servers zinaweza kuingiliwa na Mahakama?
Shahidi (Tigo): Sahihi
Mtobesya: Wakati Jaji akiandika elezea HACKERS ni Watu gani
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, kutoka mahakamani leo tarehe 01 Novemba 2021. Mawakili,watuhumiwa na Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani Muda wowote Kesi itaanza Jaji ameingia sasa Saa 4...
Literature
People and Events
Politics
Abdulrazak Gurnah’s Nobel Prize propels dual citizenship debates in Tanzania
WHEN the Nobel Prize Committee announced on 7th October 2021 that Tanzanian novelist Abdulrazak Gurnah was this year’s winner of the Nobel Prize in Literature, little did they know...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 29.Oktoba 2021. Saa 3:50 asubuhi Jaji anaingia mahakamani. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 inasomwa. Ni Jamhuri dhidi ya Khalfani Bwire,...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2022. Kwa ufupi Shahidi wa Jamhuri Justine Kaaya jana alisema kuwa alikutana na Mbowe kupanga ugaidi Januari 2020...
Wanaharakati waibua picha zake akiwa na sare ya CCM na viongozi wa CCM. Afuta akaunti yake Facebook kuficha utambulisho. Wamwambia ‘umechelewa, tayari tunazo.‘ Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ,...
Justice
Main
Politics
Kesi ya Mbowe na wenzake awamu ya pili: Maswali ya mawakili na majibu ya shahidi ACP Kingai
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ leo Jumanne 26.10.2021 Saa 4:16 Jaji anaingia Mahakamani Wakili wa Serikali, Robert Kidando, anatambulisha jopo la mawakili wa Serikali. Robert Kidando Nassoro Katuga...
BAADA ya uamuzi wa Jaji Kiongozi Mustafa Siyami unaolalamikiwa katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya Freeman Mbowe na wenzake wanaotuhumiwa ugaidi, nimezungumza na viongozi kadhaa wakiwemo...
Kama ilivyoandikwa na ripota raia BJ, kutoka mahakamani, leo Jumatano 20.10.2021. Mawakili wa pande zote wameshakaa sehemu zao. Jaji ameshaingia mahakamani. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 inatajwa. Robert...
Leo 14 Oktoba 2021, katika kuadhimisha Siku ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, serikali imeamua kuunganisha siku hiyo na tukio la kuzima Mwenge ambalo linafanyikia Chato, mkoani...