UHURU WA KUJIELEZA: PENDEKEZA SHUJAA WAKO WA 2021-2022

Unaalikwa kupendekeza jina la mtu mmoja kutoka nchini mwako ambaye unatambua kuwa ametoa mchango chanya kwa kutetea, kulinda, kuhamasisha au kupigania uhuru wa kujieleza kwa kazi alizofanya kati ya Mei 2021 na April 2022. Toa maelezo yake na weka ushahidi wa kazi yake. Katika kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani tarehe 3 Mei 2022, SK Media itatambua washindi watatu kutoka kila nchi ya Afrika Mashariki. Pata MAELEZO na jaza fomu kwa kubonyeza hapa chin:

https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSf7s88S7KvildJriBrxgEE2LGoCTrT2qAO5Eubq-CmcrQg6lQ/viewform?usp=sf_link

Like