Dar es Salaam. Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito wa Sikukuu ya Pasaka. Ujumbe huo uliosainiwa na maaskofu 27 wa KKKT waliokutana Machi...
Author: Ansbert Ngurumo
Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amewaonya vikali watu wanaopanga kufanya maandamano nchini humo akisema kwamba hawataruhusiwa. “Wapo watu wangependa nchi hii kila siku tuwe na migogoro,” amesema Dkt...