BABA Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa mrithi mtarajiwa wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambalo limekuwa linaongozwa na Mwadhama...
Author: Ansbert Ngurumo
RAIS John Magufuli amemteua Ludovick Utoh kuwa mwenyekiti wa taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibikaji katika raslimali za madini, mafuta, na gesi asilia. Utoh ni mstaafu ambaye alikuwa mdhibiti...
Kamati ya Bajeti imesema Stempu za Kielectroniki (Electronic Tax Stamp-ETS) NI KASHFA KUBWA: Kampuni iliyopatikana kinyemela kulipwa TZS67 bilioni kwa mwaka. Hii hapa kauli ya kamati kama ilivyowasilishwa na...
WAISLAMU nchini Tanzania wameandika na kusambaza waraka wa Idd wakiwaomba wananchi kutafakari mustakabali wa nchi katika kipindi hiki kigumu kinachosababishwa na serikali kutojali haki za raia na kuendekeza siasa...
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), amesema serikali imepeleka bungeni bajeti hewa. Mbali na kuzungumzia bajeti ya mwaka huu, Mbowe amechambua pia...
MTAFITI mmoja wa Kijerumani “amegundua” mti ambao unadhaniwa kuwa mrefu kuliko yote Afrika. Mti huo unapatikana Tanzania. Kwa habari zaidi, soma hapa.https://m.news24.com/Africa/News/top-africa-stories-africas-tallest-tree-mugabe-nigeria-20180614
Askari wa Rwanda walio Mererani hawalindi ukuta wa madini, bali wanalinda nyumba ya Kagame, na siri zake na Magufuli URAFIKI wa karibu kati ya Rais John Magufuli na...
Politics
Ndugai akuza deni la matibabu nje ya nchi. Adaiwa kulamba milioni 500 ndani ya miezi mitano
JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, na Rais John Magufuli wamenyoshewa kidole, wakihusishwa na ongezeko kubwa la deni la matibabu nje ya nchi. Deni hilo limeongezeka...
Politics
Religion
Magufuli apambana rasmi na maaskofu. Atishia kufuta Wakatoliki na Walutheri Tanzania
SERIKALI ya Rais John Magufuli imeanza rasmi kupambana na viongozi wa dini wanaoikosoa, na sasa imeanza “kushughulikia” makanisa kama njia ya kuadhibu maaskofu walioandika nyaraka za kichungaji katika kipindi...