MAZUNGUMZO kati ya Rais John Magufuli na viongozi wa dini ya Kikristo, ambayo makanisa na Ikulu wamekuwa wanayafanya kuwa siri, yamevuja na kuibua masuala yapatayo sita. Rais Magufuli alikutana...
Author: Ansbert Ngurumo
KOFI Annan, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amefariki dunia leo Jumamosi tarehe 18 Agosti 2018 akiwa na umri wa miaka 80. Kwa habari zaidi bonyeza hapa.
Politics
Magufuli azidi kudhulumu Kanisa. Serikali yamvua uraia katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki
UTAWALA wa Rais John Magufuli umeendelea kujizolea kashfa ya kutumia “silaha ya uraia” katika kukomoa raia, kuzima sauti za wananchi na kulipiza visasi. Zamu hii serikali imemnyang’anya uraia Padri...
A government-harboured hit squad in Tanzania is reportedly targeting a specified number of “most wanted individuals” allegedly implicated for “tarnishing the name of President John Magufuli.” The government calls...
NIMEANDIKA ujumbe huu leo katika majadiliano na rafiki yangu mmoja ambaye alijiondoa kwenye kundi la Maswali Magumu, akanieleza kuwa amekata tamaa kwa sababu watu wawili aliokuwa anawaamini katika siasa...
SIKU moja baada ya kutoka hospitalini, na baada ya kushuhudia propaganda zinazosambazwa na kikosi cha wapambe wa Rais John Magufuli kupitia vijarida vyao, wakijaribu kumsafisha rais na kashfa ya...
Politics
Magufuli regime takes reprisals against Twaweza for releasing reports on his waning popularity
TWAWEZA, a Tanzanian non-governmental organization that recently announced reports of a survey that showed the popularity of President John Magufuli was fast declining, has been facing a series of...
Ulimwengu ahoji vigezo vya uteuzi wa wakuu wa wilaya
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimepoteza matumaini ya ushindi katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma. Tathmini ya ndani ya chama hicho inaonyesha kuwa mgombea wao, Christopher...
MAKUMI ya vijana wahuni kutoka Burundi yameingizwa nchini kwa ajili ya kuongezea nguvu Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkakati wake wa kusaka ushindi kwa nguvu katika uchaguzi wa Jimbo...