CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa taarifa fupi kwa umma inayoonyesha kuwa kinatilia shaka uadilifu wa wakubwa katika mchakato wa kuchapisha noti mpya unaoendelea, ambao SAUTI KUBWA imewahi kuandika habari zake wiki chache zilizopita. Ifuatayo ni taarifa ya chama hicho iliyotolewa leo na Ado Shaib, Katibu Mwenezi wa ACT: Leo nilifanya...
Author: Ansbert Ngurumo
Ndugu zangu, mwaka mmoja uliopita, tarehe 2 Oktoba 2017, nikiwa Mwanza, nilinusa kifo. Hukumu juu yangu iliyokuwa imetolewa katika jumba kuu, siku tatu kabla, kwa shabaha ya kuninyamazisha kabisa,...
KIKUNDI cha maofisa wa vyombo vya dola kinachomzunguka Rais John Magufuli kimemshauri vibaya, naye ameridhia, na sasa kipo katika harakati za “kumwangamiza” Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, ili...
IFUATAYO ni kauli ya Tundu Lissu, mbunge wa Singida Mashariki, leo tarehe 7 Septemba 2018, mwaka mmoja baada ya kupigwa risasi na “watu wasiojulikana” wa serikali inayoongozwa na Rais...
KATIKA mazungumzo na baadhi ya Watanzania waishio Marekani, ambayo yalirushwa moja kwa moja na TBC, jana tarehe 1 Septemba 2018, Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na Katiba, alijibu...
BAADA ya uchumi wa nchi kuyumba na maisha ya wananchi kuwa magumu, Rais John Magufuli anahaha kufyatua noti mpya ili kuongeza mzunguko wa fedha. SAUTI KUBWA inatambua kwamba tayari...
PAUL Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amemvua nguo Rais John Magufuli katika vita ya ufisadi. Siri zake zimeanza kuvuja na imeanza kudhihirika kuwa hasira zote na...
Politics
UN should heed Kofi Anna’s word. It is time for action to rescue East Africa from the perils of strongman politics
THE state of affairs in East Africa’s politics is very worrying even in places that used to be regarded peaceful. Peace, security and stability have been shaken to the...
MAZUNGUMZO kati ya Rais John Magufuli na viongozi wa dini ya Kikristo, ambayo makanisa na Ikulu wamekuwa wanayafanya kuwa siri, yamevuja na kuibua masuala yapatayo sita. Rais Magufuli alikutana...
KOFI Annan, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amefariki dunia leo Jumamosi tarehe 18 Agosti 2018 akiwa na umri wa miaka 80. Kwa habari zaidi bonyeza hapa.