AN investigation by SAUTI KUBWA targeting the application of Powercef to patients in health centers of three districts of Dar es Salaam in Tanzania has revealed that the antibiotic...
Tag: Tanzania
Corruption
Politics
SHIRIKA la Masoko ya Kariakoo, Ofisi ya RAIS, TAMISEMI kutokaguliwa na CAG ni ufisadi
Imeandikwa na Martin Maranja Masese SHIRIKA la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo...
Hukumu ya kesi ya Freeman Mbowe na wenzake katika shauri namba 3 ya mwaka 2020 katika mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Kesi imekuja kwa ajili ya hukumu Mawakili...
Hotuba ya Freeman Mbowe kwa taifa katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. KAMA mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema...
WAPENDA demokrasia nchini kote na hasa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Ijumaa Machi 4, 2022 wanaweza kujihisi kuwa na furaha kuu kutokana na Serikali ya...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 4 Machi 2022. SIKU chache baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa Freeman Mbowe na wenzake watatu wana kesi ya kujibu, Jamhuri...
KESI ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake inazidi kufunua mambo mengi yaliyokuwa sirini. Watu wengi na taasisi kadhaa za ndani na nje wamekuwa wakimshauri Rais Samia Suluhu aondoe...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 8 Februari 2022. Shahidi wa 13 wa upande wa mashtaka Mkaguzi wa Polisi Tumaini Swila ameendelea kuhojiwa na mawakili wa utetezi....
Jaji Tiganga ameshaingia mahakamani tayari kusikiliza kesi. Saa 4:01 asubuhi kesi namba 16 ya Mwaka 2021 ya Jamhuri dhidi ya Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 4 Februari 2022. Wakili wa Serikali (Robert Kidando) Ikupendeze Mheshimiwa Jaji naitwa Robert Kidando na nipo pamoja na wakili Abdallah Chavula...