Right the Wrongs: Spotlight on the 2020 General Election in Tanzania

 

SK Media and Journalists For Justice are jointly releasing a report: “Right the Wrongs: Spotlight on the 2020 General Election in Tanzania,” which documents how armoured vehicles patrolled the streets where security forces, including the Tanzania Police Force, the Tanzania People’s Defence Forces, Zanzibar Special Forces and alleged militia and vigilante groups reportedly shot and killed several civilians. In the lead-up to the elections and days after, there was a heavy and intimidating security forces presence across Zanzibar. Security officers harassed and physically assaulted residents, who remained fearful of reporting such incidents since the perpetrators were the same individuals tasked with maintaining security and receiving reports of violations. It goes with very important proposals to local regional and international authorities.

Accessible from June 2, 2022.

Ndugu mdau wa haki,

Unakaribishwa katika uzinduzi wa ripoti maalumu ya uchunguzi kuhusu madhila ya uvunjifu wa haki za binadamu katika uchaguzi mkuu wa 2020 nchini Tanzania.

Ripoti hiyo, ujulikanayo kama RIGHT THE WRONGS: SPOTLIGHT ON THE 202O GENERAL ELECTION IN TANZANIA, yaani TUSAHIHISHE MAKOSA: ANGAZIO LA UCHAGUZI MKUU 202O NCHINI TANZANIA, imeandaliwa na Kampuni ya SK Media inayochapisha jarida la SAUTI KUBWA kwa ushirikiano na Chama cha Wandishi wa Habari cha Kutetea Haki (Journalists For Justice).

Itazinduliwa rasmi tarehe 2 Juni 2022, Alhamisi saa 4.00 asubuhi za Afrika Mashariki.

RIGHT THE WRONGS REPORT 4
Like