Right the Wrongs: Spotlight on the 2020 General Election in Tanzania

 

This is the Swahili version. For English version please visit https://sautikubwa.org/right-the-wrongs-spotlight-on-the-2020-general-election-in-tanzania/

Jipatie ripoti maalumu ya uchunguzi kuhusu madhila ya uvunjifu wa haki za binadamu katika uchaguzi mkuu wa 2020 nchini Tanzania.

Ripoti hiyo, ujulikanayo kama RIGHT THE WRONGS: SPOTLIGHT ON THE 202O GENERAL ELECTION IN TANZANIA, yaani TUSAHIHISHE MAKOSA: ANGAZIO LA UCHAGUZI MKUU 202O NCHINI TANZANIA, imeandaliwa na Kampuni ya SK Media inayochapisha jarida la SAUTI KUBWA kwa ushirikiano na Chama cha Wandishi wa Habari cha Kutetea Haki (Journalists For Justice).

Executive Summary & Recommendations.docx

Hii hapa ni sauti ya Rais wa SK Media, Ansbert Ngurumo, akijibu maswali ya wananchi katika CLUBHOUSE Juni 2, 2022.

Like
1