- Mbowe aahidi neema kwa wachimbaji madini wa Kitanzania
- Heche amshughulikia Waitara, wanaCCM 160 wahamia Chadema
Politics
Mwenyekiti na wajumbe wa serikali wahamia Chadema
WAKATI wanasiasa na wanaharakati wakihoji kwanini serikali imeziacha bandari za Zanzibari na kuziingiza bandari za Tanganyika pekee kwenye Mkataba wa Ushirikiano na Serikali ya Dubai, huku waliohusika kusaini mkataba...
- Mbowe aibuka na 'Dira ya Maendeleo Vijijini'
- Lissu akemea mauaji, ukandamizaji raia jirani na hifadhi
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ametoa michango mbalimbali ya kifedha kusaidia jamii akiwa katika ziara ya chama hicho inayoendelea kwenye mikoa ya...
MUDA mfupi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumwapisha Mohamed Mchengerwa kuwa waziri anayeshugulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), na kumpa ujumbe maalumu kuhusu uchaguzi wa...
- Wabunge CCM wahusishwa na genge linalonyonya wakulima wa Pamba
- Mbowe, Lissu, Kigaila waongoza hoja za kisera
Mbowe, Lissu wampa tahadhari Samia
- Washtukia njama za kuchelewesha katiba mpya
KATIKA mkutano wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo kwenye kijiji cha Sakasaka, Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu, wananchi...
LEO jioni, akihutubia wananchi wa Malampaka, Jimbo la Maswa Magharibi, mkoani Simiyu, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ametoa msimamo wa chama chake...