WAPENDA demokrasia nchini kote na hasa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Ijumaa Machi 4, 2022 wanaweza kujihisi kuwa na furaha kuu kutokana na Serikali ya...
Politics
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 4 Machi 2022. SIKU chache baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa Freeman Mbowe na wenzake watatu wana kesi ya kujibu, Jamhuri...
TAKRIBANI miezi mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, umoja wa mabalozi wal nchi mbalimbali walioko Kenya wameitaka serikali ya Kenya kuridia na kutekeleza Mkataba wa Afrika wa Demokrasia, Uchaguzi...
KATIKA dunia ambayo ushirikiano katika sekta zote hauwezi kuepukika, uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ambao sasa ni vita baina ya mataifa haya mawili, umeanza kuleta mabadiliko makubwa katika...
KESI ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake inazidi kufunua mambo mengi yaliyokuwa sirini. Watu wengi na taasisi kadhaa za ndani na nje wamekuwa wakimshauri Rais Samia Suluhu aondoe...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 18 Februari 2022. Jaji tayari ameshaingia mahakamani na kesi imeanza saa 7:55 mchana. Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Jamuhuri dhidi...
WAKILI WA SERIKALI: (Robert Kidando) Mheshimiwa Jaji wakati tunaiomba Mahakama kwenye kifungu cha 41, tuliridhia kwa sababu mahususi kuwa Mahakama inaweza kufanya maamuzi hayo. Tunaporejea kifungu cha 41(1) cha...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 14.02.2022. Jaji ameingia Mahakamani muda huu saa 4 kamili asubuhi Kesi namba 16 ya mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed...
Main
People and Events
Relationships
THE VALENTINES’ DAY: A SOCIO-ECONOMIC REALITY, THE WORLD CAN’T ESCAPE
I have been freely watching at a good number of beings, more especially the so called animals. But to be more causal, I have also looked at birds, leave...