"Nashakuru akina mama wa CCM, nao wamenyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huu. Ahsanteni sana. Mungu awabariki saba," alisema Mbowe.
Author: Juliet Wanzagi
- Lembeli aibukia jukwaa la Chadema, Kahama, akerwa na rushwa serikalini.
- Chadema, Mikataba ya Uwekezaji vyaiweka pabaya CCM
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama hicho kikiingia madarakani kitaboresha maisha na maslahi ya watumishi wa umma, wakiwemo wa Jeshi la Polisi, kwani...
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameichambua hali mbaya ya umaskini unaowasibu takribani watu takribani 400,000 wa visiwa 38 vya wilaya ya Ukerewe...
- Asema mitumba ya CCM imeua Pamba ya Wasukuma
Ahoji sababu ya kutodai Sh trilioni 1.2 kutoka IPTL na Arab Contactors Ahofia usiri unaoleta mwanya wa mikataba ya upigaji katika miradi ya gesi WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba,...
This is the Swahili version. For English version please visit https://sautikubwa.org/right-the-wrongs-spotlight-on-the-2020-general-election-in-tanzania/ Jipatie ripoti maalumu ya uchunguzi kuhusu madhila ya uvunjifu wa haki za binadamu katika uchaguzi mkuu wa 2020...
People and Events
Politics
Mpwa wa Magufuli adai anaponda raha kwa Samia kuliko enzi za utawala wa mjomba wake
FURAHA Dominic, mpwa wa hayati John Pombe Magufuli (aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania) amesema kwa sasa anaishi kwa raha zaidi kuliko kipindi cha uongozi wa mjomba...
JESHI la Polisi nchini Tanzania limeingia katika hatua mpya ya uonevu na udhalilishaji wa raia, baada ya akina mama waliokuwa wameshikiliwa na polisi kwa siku kadhaa kinyume cha sheria...