Viongozi wampa ukweli Magufuli

2 Comments
 1. Kenneth Mwazembe 3 years ago
  Reply

  Iko vizuri sana

  0

  0
 2. Tarimo oscar J. 3 years ago
  Reply

  Namshukuru sana Jaji Samata kwa kusema ukweli na amekuwa muwazi kwa lile analoliamini kwa dhamira na kwa imani yake. Watanzania tunategemea viongozi kama hawa kuwaambia watawala ule ulio ukweli bila kupepesa macho. Amani bila haki haina maana yoyote.

  Nawashangaa hao wengine na tunashindwa kuelewa km walikwenda kujikomba au sijui walienda kutafuta nini?. Maana hawategemei ajira au kupewa nafasi yoyote serekalini, unaogopa nini kumwambia ukweli ili kutimiza wajibu wako? Kama asipotekeleza lakini umetimiza wajibu wako kwa Watanzania.

  1

  1

Leave a Comment

Your email address will not be published.