- Wasikilize Ansbert Ngurumo, mhariri wa SAUTI KUBWA, na Khalid Hassan, mwandishi wa habari mkongwe kutoka Burundi, wakijadili uhuru wa vyombo vya habari katika “meza ya duara” ya Sauti ya Ujerumani (DW). Matangazo haya yalirushwa na DW tarehe 5 na 6 Mei 2018 katika wiki ya kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ambayo huadhimishwa tarehe 3 Mei kila mwaka.
Mr. Ngurumo,
Nakusupport, serikali yeyote haitaki kusikia mabaya inayofanya. Na kama itazuia kabisa kusikia hakuna mandeleo. Kitu cha pili umesema mf.serikali ya Tz inatumia vyombo vyote vya umma kueleza propaganda zake. Tena vyombo vya umma vinavyoendeshwa kwa kodi za wananchi. TBC, ziara za viongozi, radio, magazeti , vyote vinaeleza serikali inavyofanya mazuri. Hakuna sabababu tena ya waandishi binafsi, kuendelea kuipigia debe serikali. Waandishi binafsi ni jicho lingine la wananchi kama vyombo vya serikali vinalazimishwa kusema mazuri ya serikali. Hata habari za wapinzani vyombo hivyo havitoi. Tanzania sasa hivi inaingia kwenye utawala wa Imla, utawala ambao hautaki kukosolewa kabisa. Kazi yake kubwa ni kudhibiti vyombo vya habari, ili watu wasisikie tena ukweli na ili kudhoofisha nguvu za upinzani ambao kama siyo katiba mbaya na uvunjaji wa sheria, na sheria mabaya zinapitishwa sasa, serikali hii haingeshinda uchaguzi 2020. Muandishi mwenzako Bw. Khalid yupo sasa hivi Rwanda( nchi ambayo inaendeshwa na dikteta mwingine) , ndiyo maana maongezi yake ni ya kidiplomasia asije kuingia utatani. Lakini anakubaliana na wewe.
Bado uhuru wa habari si kwa kiwango cha juu
Tanzania like any other liberal democracy, the medias right and duty to scrutinize and if necessary ,to censure government is long and well established. This however, has not prevented the goverments from attempting to gag or silence the media.The government is deliberately using the media to deceive the people, newspapers and other media outlets critcal to the government have been the target of continuously. Journalists have been targeted as well, with kidnappings and murder some have been forced into exile,lets continue to speak out against the government free media is our constitution right.