Kutoka mahakamani kama ilivyoandikwa na ripota raia, BJ, leo Jumanne tarehe 28 Septemba 2021. Endelea. Jaji ameshaingia Sasa Watuhumiwa wanapandishwa Kuzimbani Mawakili wa Serikali wanatambulishwa Robert Kidando Abdallah Chavula...
Tag: Tanzania
Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Mshitakiwa na shahidi wa utetezi “anyukana” na mawakili kizimbani (5)
Kutoka mahakamani kama ilivyoripotiwa na ripota raia, BJ, leo Jumatatu 27.09.2021. Endelea. Jaji ameshaingia, amekaa na kesi imeshatajwa. Kesi inasomwa. Ni Kesi namba 16 ya mwaka 2021 Jamuhuri dhidi...
Kama ilivyoripotiwa na ripota raia, BJ, leo Ijumaa 24.09.2021. Jaji ameshakaa na kesi inatajwa. Ni namba 16 ya 2021. Naomba utulivu ili tuanze. Jaji: Wakili wa Serikali?Wakili wa Serikali...
Anaripoti BJ mwandishi raia kutoka mahakamani. Tunaiweka bila kuihariri ili kutoharibu asili na vionjo vyake. Fuatana naye: Leo tarehe 17. Septemba 2021, saa 6:00 mchana. Jaji hajaingia mahakamani. Mawakili...
MCHEZO mchafu wa kuikosesha mapato Serikali ya Tanzania umeibuka katika mnada wa bidhaa unaondeshwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa njia ya mtandao (online auction). Mbali na kukosa mapato,...
Justice
People and Events
Politics
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema. Uamuzi wa Jaji...
THE government of Tanzania has revealed that Hamza Mohammed, the man who shot dead four security personnel, near French Embassy in the economic capital, Dar es Salaam, was a...
THE rapid spread of the more-transmissible Delta variant of the coronavirus is extremely serious and surging across Tanzania, the East African country that once denied the existence of COVID-19. In late...
KUMEKUWEPO na mjadala mkali kuhusu chanjo ya Corona, hawa wakiipinga na wengine wakiitetea. Katika mnyukano wa maoni kuhusu chanjo hii, Askofu Josephat (Rashid) Gwajima na Waziri wa Afya Dorothy...
WAKATI wowote kuanzia kesho, kiongozi na mmiliki wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ataamriwa kuthibitisha msimamo wake kwamba chanjo dhidi ya COVID-19 ni sumu na zinaua;...