Na Martin Maranja Masese
Tag: Tanzania
People and Events
Politics
Mpwa wa Magufuli adai anaponda raha kwa Samia kuliko enzi za utawala wa mjomba wake
FURAHA Dominic, mpwa wa hayati John Pombe Magufuli (aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania) amesema kwa sasa anaishi kwa raha zaidi kuliko kipindi cha uongozi wa mjomba...
IDADI ya Watanzania wanaokula mlo mmoja kwa siku inazidi kuongezeka baada ya kuwepo kwa ugumu wa maisha unaotokana na sababu mbalimbali, ikiwamo ukosefu wa ajira, mabadiliko ya hali ya...
Justice
People and Events
Security
Familia yatoa kauli kuhusu uchunguzi wa mwili wa mlinzi aliyeuawa na mfanyabiashara wa madini Arusha
SAKATA la mfanyabiashara wa madini, Pendaeli Mollel, anayetuhumiwa kumuua Steven Jimmy (mlinzi) akidai kuwa alimwibia pampu ya maji, limechukua sura mpya baada ya ndugu wa marehemu kudai uchunguzi unaonyesha...
AN investigation by SAUTI KUBWA targeting the application of Powercef to patients in health centers of three districts of Dar es Salaam in Tanzania has revealed that the antibiotic...
Corruption
Politics
SHIRIKA la Masoko ya Kariakoo, Ofisi ya RAIS, TAMISEMI kutokaguliwa na CAG ni ufisadi
Imeandikwa na Martin Maranja Masese SHIRIKA la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo...
Hukumu ya kesi ya Freeman Mbowe na wenzake katika shauri namba 3 ya mwaka 2020 katika mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Kesi imekuja kwa ajili ya hukumu Mawakili...
Hotuba ya Freeman Mbowe kwa taifa katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. KAMA mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema...
WAPENDA demokrasia nchini kote na hasa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Ijumaa Machi 4, 2022 wanaweza kujihisi kuwa na furaha kuu kutokana na Serikali ya...