NAOMBA kuchangia mjadala kuhusu hatua ya Rais John Magufuli kuhamishia Ikulu nyumbani kwake Chato- kinyemela. Ni makosa makubwa. Ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi wa nchi kuhamishia Ikulu...
Tag: Mobutu Seseseko
Januari 25, 1971, mkuu wa majeshi ya Uganda, Jenarali Idi Amin, alipopindua serikali ya Milton Obote, alisema: “Sina tamaa ya madaraka. Nataka kusafisha serikali na baadaye kuirejesha katika utawala...