Education People and Events Politics Tanzania yasitisha somo la Historia ya ‘kumtukuza Magufuli’ Author Rehema IbrahimPosted on 11th July 202111th July 2021 VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa....