EDWARD Kinabo, Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma, wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amesema chama hicho kikiingia madarakani kitatumia “sera ya kuthaminisha ardhi kuwa hisa”...
Tag: Gesi asilia
MRADI mkubwa wa gesi asilia ulioanza kutekelezwa nchini Msumbiji sasa utahamia Tanzania baada ya wawekezaji – TOTAL – kuuondoa nchini humo kwa sababu ya machafuko yanayohusisha kundi la waasi...