SAUTI KUBWA inakuletea habari za uhakika ikitaja majina ya baadhi ya askari waliotumwa kuteka, kutesa na kuua baadhi ya raia, viongozi wa upinzani, na wakosoaji wa Rais John Magufuli;...
Tag: Freeman Mbowe
Politics
Tundu Lissu anyamazisha wapika propaganda wa Lumumba wanaotunga maneno kuhusu tukio la kuumizwa kwake
WAPIKA propaganda wa CCM wamekuwa wanahangaika na tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi tarehe 7 Septemba 2017; wakitaka kulnda uhalifu aliofanyiwa kama ambavyo serikali imelinda askari polisi waliomuua Akwilina...
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), amesema serikali imepeleka bungeni bajeti hewa. Mbali na kuzungumzia bajeti ya mwaka huu, Mbowe amechambua pia...
