Orodha ya wananchi waliouawa Kibiti hii hapa

7 Comments
  1. Anna Peter Mrio. 6 years ago
    Reply

    Mwacheni mwenye nguvu mikononi mwa Mungu. Mungu anatenda kwa hakika. Mungu si kipofu wala si kiziwi. Anasikia kilio cha watanzania kuliko nyakati zote.

    Waacheni wao wenye nguvu….. wao wana madaraka na silaha lakini wananchi wana Mungu.

    Hizi ni nyakati za mwisho lazima maandiko yatimie. Ila mwisho wa siku mwenye haki wa Mungu atashinda. Mungu asipoijenga na kuilinda nchi, wanaoilinda nakesha bure.

    Tuendelee kumlilia Mungu, ataonyesha muujiza wake.
    Ubabe, manyanyaso, kutekwa, mauaji yaliyotokea kipindi hiki nafikiri hayajawahi kutokea kamwe mchini kwetu.
    Mungu atunusuru tusijepata hasira ya kulipiza kisasi bali hukumu tumuachie mwenyewe.
    Amin amin nawaambia sala zina nguvu kuliko silaha. Amen
    Nawapenda watanzania wangu nalia na kusali usiku na mchana. Na hamna goti linaenda kwa Mungu lirudi bure. Amen

    25

    0
  2. Anna Peter Mrio. 6 years ago
    Reply

    R.I.P watu wetu msiokuwa na hatia. Siri anaijua Mungu na hao wanaojiita wasiojulikana.

    4

    0
  3. Maryam Mbogo 6 years ago
    Reply

    Duh! Ni mungu pekee ajuae wapi tutaishia. Mungu tusaidie

    2

    0
  4. Kakakuona 6 years ago
    Reply

    Mnyonge akichoka anageuka muhasi, anaingia mtaani kudai haki.
    -Nash Mic.

    Baada ya nukuhu ya msanii wa Kizazi kmpya Tanzania Hawa watu wanao kufa wanandugu zao ambao wamelia sana.
    Mtoto wa mwaandishi wa habari wa gazeti la mwananchi amezaliwa mpaka sasa hajamuona baba yake nawaza tu hivi akiweza kujitambua na kuuliza “mama baba yupo wapi” pia kwa mbali unasikia mtoto wa Lissu anauliza “baba kwann walitaka kukuua” hizi hasira zinapandwa kwa muda mrefu sanaaaa…….
    #kakakuona#nchiyaahadi#

    4

    0
  5. makaveli 6 years ago
    Reply

    This government has failed miserably to maint peace and security. Political assassinations targeting opposition members, journalists and human rights activists are now a common thing and so far the police force has failed to provide a resonable response making it clear of the government involvement.This must stop . REVOLUTION…..

    2

    0
  6. Mmbogo, Steven 6 years ago
    Reply

    Haki itabaki kuwa haki dhidi ya dhuluma aina yoyote. Nafsi za watu zilizodhulumiwa bila kosa ni nguvu ya maangamizo dhidi ya waliotenda maovu haya.

    1

    0
  7. Edward Hoja 6 years ago
    Reply

    Mungu na awe juu yetu

    1

    0

Leave a Comment

Your email address will not be published.