Wazanzibari tukisema wa-Tanganyika mnatuona kama ni walalamishi, lakini angalia Zanzibar tuna mawaziri wetu kule, lakini hawatambuliki hata Nairobi(Kenya) hapo, wanaotambulika ni wa Serikali ya Muungano hata katika sekta ambazo...
People and Events
"Jana tumeona wamesaini mikataba na watu wa Dubai ya utekelezaji wa uwekezaji katika bandari zetu (HGAs). Tulipinga mkataba waliosaini awali ambao haukuwa na kikomo, sasa wanasema mkataba waliosaini una...
Kutoka Ileje, Momba na Kwela MAMIA ya wananchi wa majimbo ya Ileje na Momba, mkoa wa Songwe na Kwela, mkoa wa Rukwa, wameilalamikia Wizara ya Kilimo, inayoongozwa na Waziri,...
- Vigogo Chadema wamininika Oparesheni +255 Tunduma
- Umeme, Maji, Biashara, vyatawala Uzinduzi Oparesheni +255, Tunduma
Afya
Economy
Justice
Main
People and Events
Politics
Wafugaji na viongozi wao Ngorongoro wapinga kanusho la serikali
Mwenyekiti wa Kijiji Kayapus amesema kuwa athari ya sumu hiyo haikuwa kwa mifugo pekee, bali pia kwa binadamu waliokunywa maziwa na kula nyama ya ng'ombe hao. Wengine walikufa, na...
Afya
Business
Economy
Main
People and Events
Tourism
‘Chumvi ya serikali’ yapukutisha mifugo Ngorongoro
Familia ya David Kondoro ya Kijiji cha Oloirobi Kata ya Ngorongoro ilipoteza ng'ombe 35, kati ya 40. Pichani, familia yake inashuhudia mabaki ya mifupa ya mifugo yao iliyokufa...
Qatar ndiyo walitakiwa kujifunza Tanzania kuhusu kilimo cha mbogamboga na matunda. Eneo lenye maji Tanzania ni ni 6.4% wakati Qatar ni 0.8%. Kilimo cha umwagiliaji nani alitakiwa kuwa mwalimu?
Afya
Business
Corruption
Main
Media
People and Events
Sports
Kubeti: Jinamizi linalotafuna vyeti, ndoa, pesa, ubongo, na uhai
- Dar es Salaam yatia fora kwa watoto kucheza kamari
- Serikali, wazazi, viongozi wa dini wabebeshwa mzigo
- Sheria inasema kamari ni mchezo wa burudani, si ajira
Education
People and Events
Politics
KWANINI NATOFAUTIANA NA RAIS KIKWETE KUHUSU WALIMU WA SHAHADA SHULE ZA MSINGI
BAADA ya Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa maoni kuwa shahada ya kwanza ya ualimu iwe kigezo cha walimu wanaotakiwa kufundisha shule zetu za msingi, hoja yake imeibua mjadala...