Na Ndimara Tegambwage
Author: skmedia@sautikubwa.org
Qatar ndiyo walitakiwa kujifunza Tanzania kuhusu kilimo cha mbogamboga na matunda. Eneo lenye maji Tanzania ni ni 6.4% wakati Qatar ni 0.8%. Kilimo cha umwagiliaji nani alitakiwa kuwa mwalimu?