IMEDHIHIRIKA sasa kwamba Rais John Magufuli amekuwa anapotosha Watanzania katika mambo mengi ya msingi. Upotoshaji wake unakera sana kwenye sekta za afya, uchumi, utawala wa sheria, haki za binadamu,...
Author: Ansbert Ngurumo
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
Corruption
Economy
Politics
Katika hili la kiwanda cha maziwa, Magufuli atakabwa na mgogoro wa maslahi. Apewa ng’ombe, bado “mke wa Kinyarwanda.”
WIKI hii Rais John Pombe Magufuli (JPM) yuko Mkoani Kagera. Alianzia Bukoba na sasa yuko mapumzikoni “nyumbani” kwake kwingine, Karagwe. Ziara hii imeibua mengi na itaendelea kuibua mengine, hata...
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi, ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Iringa, ameonekana katika video moja akicharaza viboko watu wazima kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa. Kitendo hicho cha...
THE main opposition party in Tanzania, CHADEMA, has dismissed its 19 members recently sworn-in as members of parliament (special seats), citing insubordination and contempt of the party. CHADEMA chairman,...
TUNDU Lissu, the opposition’s presidential candidate in Tanzania’s just-ended general election has left for exile in Europe, citing life threats from “unknown people.” Lissu had previously been arrested by...
SASA kuna kila dalili kwamba Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anazongwa na aibu ya kuongoza bila ridhaa ya wananchi. Ameamua kuomba kuungwa mkono na mshindani wake katika...
TANZANIA’s opposition candidate in the just-ended general election, Tundu Lissu, is seeking asylum, citing secret reports of President John Magufuli allegedly ordering his squad to eliminate him. Unconfirmed reports...