SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kuacha “kumtesa” na kumwachia haraka mwanaharakati Zara Kay, raia wa Australia, aliyekamatwa, kuhojiwa na vyombo vya usalama jijini Dar es Salaam tangu Desemba 28, mwaka...
Author: Felicita Felix
Corruption
Justice
Politics
Serikali ya Magufuli yatumia “kesi mbaya” kuchuma mapesa kwa kutesa wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanaharakati
HATUA ya Serikali ya Rais John Magufuli kukamata na kutesa raia, kuwafungulia kesi mbaya na hatimaye kuwanyang’anya fedha, imeelezwa kuwa ni mkakati wa kujinufaisha kwa pesa za haraka haraka,...