JOSEPH Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini aliyeachiwa ghafla jana kutoka gereza la Ruanda, anasema anapaswa kuombwa radhi kwa uonevu aliofanyiwa kwa sababu za kisiasa. Msikilize.
Author: Ansbert Ngurumo
Susana Kiwanga (Chadema – Mlimba), amesema serikali ya CCM inajali maendeleo ya vitu badala ya watu, ndege badala ya maji.
Susan Mgonokulima (Chadema – Iringa) amesema waziri wa maji amejipendelea kwa kujigawia visima vya maji 79 wilayani kwake, huku akibakiza idadi ambayo ikigawiwa kwa wilaya nyingine zote nchi nzima,...
Selemani Bungala (Bwege), mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), amesema kuwa tatizo la bajeti hewa si la mawaziri bali serikali ya CCM ambayo kwa miaka 50 sasa imekuwa inasema isichomaanisha,...