RAIS Samia Suluhu Hassan amekerwa kuona baadhi ya wabunge wanaacha kujadili ajenda za kitaifa zenye maslahi mapana kwa umma, badala yake wanatumia muda mrefu kujadili porojo na kusifia viongozi....
Tag: Wabunge
RAIS John Magufuli ameanza kusahau kauli yake juu ya “umahiri” wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao alisema wanafaa kuwa mawaziri. Sasa anateua mawaziri na manaibu wao nje...
WABUNGE 10 wa Chadema leo Jumamosi wametembelea gereza la Ruanda, Mbeya, kuwajulia hali Joseph Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini, na Emmanuel Masonga, katibu wa Kanda ya Nyasa. Wabunge...