Justice Main SINTOFAHAMU, VILIO VYATAWALA MSOMERA Author Rehema IbrahimPosted on 21st May 202621st May 2026 Wadau wa haki za binadamu wamesema hawaridhiki na taarifa ya ripoti ya Tume ya Rais kuhusu uhamaji wa hiari kwa madai kuwa imeficha ukweli na ukatili unaofanyika katika makazi...