Justice
                                             People and Events
                             Politics
            
            
                 
        
        
        Kesi ya Mbowe yashindikana kusikilizwa kwa masafa. Polisi wadhulumu wafuasi wa Chadema mahakamani
            JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limelazimika kutumia nguvu kutawanya wafuasi na mashabiki wa Chadema waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatilia...
        
     
            
        
 
                 
                