Justice
                                             People and Events
                             Politics
            
            
                 
        
        
        Mahakama zaamuru Musiba awalipe Prof. Tibaijuka, Fatma Karume bilioni 8 kwa kuwakashifu.
            MAHAKAMA nchini Tanzania zimemuamuru Cyprian Musiba, ambaye amekuwa anajiita “mwanaharakati huru,” kulipa fidia ya Shilingi bilioni 7.58 baada ya kumkuta na hatia ya kukashfu, kudhalilisha na kusema uongo dhidi...
        
    
            
        