JOSEPH Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini aliyeachiwa ghafla jana kutoka gereza la Ruanda, anasema anapaswa kuombwa radhi kwa uonevu aliofanyiwa kwa sababu za kisiasa. Msikilize. http://sautikubwa.org/wp-content/uploads/2018/05/6egd6-mcwpp.mp4 Like 3 Share this story