NGUVU ya umma imeshinda hila na mabavu ya watawala nchini Malaysia, na kuangusha muungano wa chama tawala, National Front, ambacho kimetawala nchi hiyo kwa miaka 60 mfululizo tangu ilipopata...
World
ASILIMIA 40 ya shahada zinazotolewa na vyuo vikuu sasa zitatoweka kwa kukosa umuhimu kwenye jamii katika miaka 10 ijayo, utafiti mpya umebaini. Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya Ernst...
TANZANIA na Israel, ambazo zimekuwa na uhusiano wa shaka tangu 1973, sasa zinajenga uhusiano mpya kwa kuanzisha ushirikiano wa kidiplomasia kwa vitendo. Kuazia wiki ijayo, Tanzania inatarajiwa kufungua ubalozi...
SOPHIA Mwakagenda, mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) – wa kwanza kushoto pichani – ametwaa tuzo ya heshima ya mwanamke bora katika muongo mmoja wa kusaidia jamii. Sophia amekabidhiwa tuzo...
BAADA ya saa 12 kamili jioni tarehe 30 Aprili, mambo mitaani yamebadilika katika Jiji la Helsinki, Finland. Shamrashamra za Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambayo huadhimishwa Mei Mosi kila mwaka,...
SERIKALI ya Zimbabwe imeruhusu wananchi wake kulima bangi kwa ajili ya matumizi ya kitabibu. Kwa mujibu wa gazeti la The Independent la Zimbabwe, nchi hiyo inakuwa ya pili barani...